HUAWEI Y7 PRIME (2018)

Baada ya kuja na simu ya Huawei Y7 prime ya mwaka 2017 kampuni ya kutoka China ya Huawei imetoa simu nyingine ya mtindo huo huo lakini wakaiboresha. Kwa wale wapenzi wa simu za budget yaani bei zisizoumia mfuko wako kwa sana wanaweza kununua simu hii kutoka kwa website ya kilimall ambao wanashirikiana na kampuni ya Huawei kuuza bidhaa hii nchini Kenya.
   












Maelezo ya simu hii kwa ufupi:

Mfumo endeshi: Android version 8.0 Oreo
RAM: 3 GB
ROM: 32 GB
Kamera: Nyuma 13MP + 2MP
              Mbele 8 MP
Saizi: inchi 5.99
Prosesa:1.4 GHz Octa Core Cortex-A53 
Rangi: Nyeusi, Dhahabu na Samawati
Iko na uwezo wa 4G LTE
Uzito: 155 gramu
Vipimo vyake ni: 158.3 x 76.7 x 7.8 mm
Betri : 3000 mAh
Hivi ndivyo simu hii inakaa kwa picha







Inapatikana kwa preorder kwenye twavuti ya kilimall .



Comments

Popular posts from this blog

Whatsapp inakula memori yako?

INFINIX NOTE 5 IMEZINDULIWA!!

Google Pixel 2 na Pixel 2 XL