INFINIX NOTE 5 IMEZINDULIWA!!
Pia kuna mambo mengine mengi ambayo mtumiaji anaweza kufanya na hii simu mpya kutoka infinix.
Vidokezo vyake kwa kina ni kama ifuatavyo:
- Inchi 6 kioo cha HD kwenye aspect ratio ya 18:9
- Prosesa ya MediaTek Helio P23
- 3GB RAM
- 32GB memori ya ndani
- Inakubali SIM kadi mbili za 4G
- 12MP kamera ya nyuma
- 16MP kamera ya selfi
- 4500mAh betri
Pia kuna vasheni ya 4GB RAM na 64 GB memori ya ndani.
Kwa Bei yake Jumia wanaiuza Kartika renji ya 16,000-17,000.
Katika kiwango hichi cha kitita na uwezo wa simu hii kulingana na vidokezi vyake hii simu inaweza kukutumikia vyema ukilinganisha na zingine kwenye kiwango hicho cha bei.



Comments
Post a Comment