INFINIX NOTE 5 IMEZINDULIWA!!
Kampuni ya Infinix MOBILE imezindua katika msururu wao wa NOTE simu mpya ya Infinix Note 5. Simu hii inatarajiwa kuwa kwa kiwango cha chini cha uwezo kinachojulikana kama budget. Vidokezo muhimu vya simu hii ni kama vile betri yake kukaa kwa takribani siku Tatu kulinda a na utumiaji wa kawaida. Pia kuna mambo mengine mengi ambayo mtumiaji anaweza kufanya na hii simu mpya kutoka infinix. Vidokezo vyake kwa kina ni kama ifuatavyo: Inchi 6 kioo cha HD kwenye aspect ratio ya 18:9 Prosesa ya MediaTek Helio P23 3GB RAM 32GB memori ya ndani Inakubali SIM kadi mbili za 4G 12MP kamera ya nyuma 16MP kamera ya selfi 4500mAh betri Pia kuna vasheni ya 4GB RAM na 64 GB memori ya ndani. Kwa Bei yake Jumia wanaiuza Kartika renji ya 16,000-17,000. Katika kiwango hichi cha kitita na uwezo wa simu hii kulingana na vidokezi vyake hii simu inaweza kukutumikia vyema ukilinganisha na zingine kwenye kiwango hicho cha bei.